Sunday, June 22, 2014
MWIMBAJI WA KIKE WA NIGERIA ATANGAZA KUWAPA NGONO BOKO HARAM ILI WAWAACHIE HURU WASICHANA 200 WALIOWATEKA
Do you like this story?
Mwimbaji wa kike wa Nigeria mwenye umri
wa miaka 23 anaefahamika kwa jina la Adokiye ameeleza anachofikiria kuhusu
wasichana zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na kundi la Boko Haram.
Mwimbaji huyo ambaye anafahamika sana
kwa comments zinazotengeneza mijadala hudai kuwa yeye ni bikira.
Mwishoni mwa wiki hii ameiambia
Showtime kuwa anajitoa yeye kwa kundi la Boko Haram kama inawezekana wao
kuwaachia wasichana wanaoshikiliwa na kundi hilo.
“Sasa hivi ni saa tato usiku, je unajua
ninachofikiria? Wale wasichana wadogo, wapi walipo na nini kinawatokea muda
huu. Sio sawa. Ni wadogo sana.
"Nawishi ningeweza kujitoa mimi kubadilishana nao. Wana umri kati ya miaka 12 hadi 15. Mimi ni mkubwa na nimeshazoea maisha zaidi yao.
"Hata kama wanaume 10 hadi kumi na mbili watanichukua kwa usiku mmoja, sijali. Nachojali wawaachie hao wasichana warudi kwa wazazi wao.”

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ MWIMBAJI WA KIKE WA NIGERIA ATANGAZA KUWAPA NGONO BOKO HARAM ILI WAWAACHIE HURU WASICHANA 200 WALIOWATEKA ”
Post a Comment