Saturday, June 7, 2014
AAGIZA MAITI IKATWE MIGUU AFRIKA KUSINI
Do you like this story?
Mwandalizi mmoja wa mazishi nchini Afrika Kusini,anayedaiwa kuwaagiza
wafanyakazi wake kuikata miguu ya maiti moja aliyodai kuwa ndefu sana
alifikishwa mahakamani Ijumaa.
Ronel
Mostert anayemiliki chumba cha kuhifadhi maiti ambacho pia huendesha shughuli
za mazishi, alitoa amri hiyo kwa lengo la kuhakikisha kuwa maiti hiyo ingetosha
katika jeneza.
Anakabiliwa
na kosa la kumkata miguu maiti.
Mfanyakazi
mmoja aalimbia mahakama kuwa Ronel alimuagiza kuchukua kifaa kimoja cha kukata
ili kuikata miguu hiyo ya marehemu na kwamba jambo hilo limekuwa likimsumbua
sana kimawazo.
Mwili
marehemu ulifukuliwa ili kusaidia katika uchunguzi wa polisi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “AAGIZA MAITI IKATWE MIGUU AFRIKA KUSINI”
Post a Comment