Friday, June 6, 2014
HAYA NDIO YALIOJIRI BAADA YA CHATU MKUBWA KUUWAWA JANA.
Do you like this story?
BAADA YA chatu mkubwa kutokeza
katika nyumba ya mfanyabishara mkubwa wa jiji la Arusha mengi yaibuka
akielezea tukio halisi mmoja
wa mtoto wa mwenye nyumba hiyo ambaye jina lake alijafahamika alidai kuwa yeye
na mfanya kazi walikuwa wanakunywa chai sebuleni ndipo wakasikia kitu kinagonga
katika moja ya chumba ambacho walishapigwa marufuku kukifungua
aliasema kuwa wakati kinaendelea
kugonga ndipo walipoamua kwenda kufungu chumba hicho wakiwa na mfanya kazi ili
waone nini kinachogonga
mara tu baada ya kufungua chumba
kile walisema walikutana uso kwa uso na chatu huyo ndipo walipoamua kukimbia na
kupiga kelele
kutokana na shutuma hizi za kudaiwa chatu huyu alikuwa anafugwa na mfanyabiashara huyo aliyetambulika kwa jina la joseph magessa timu nzima ya libeneke la kaskazini ilijitaidi kutafuta ukweli huu kwa kumtafuta mwenye nyumba magesa au mke wake ili aelezee tukio hili lakini hazikufanikiwa kwani tulivyofika nyumbani akuwepo na tulivyojaribu kupiga simu yake haikupatikana hatukuishia apo bali tulimtafuta pia mke wake lakini atukumpata.
taswira halisi ya eneo la
tukio imeonekana watu wengi kutoka katika sehemu mbalimbali wakienda kushuhudia
kama tukio hilo ni lakweni na wengine walienda kuangalia mabaki ya nyoka
uyo aina ya chatu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “HAYA NDIO YALIOJIRI BAADA YA CHATU MKUBWA KUUWAWA JANA.”
Post a Comment