Friday, June 20, 2014

MBUNGE MAKOFI KWA BAKULI.



Spika wa bunge anne makinda amewataka  wabunge waache kupiga makofi  kwa kutumia njia zisizo  rasmi vikao vya bunge baada ya mmoja  wa wabunge hao kutumia bakuli kupiga makofi badala ya mkono.

Hali hiyo ilijitokeza jana muda mfupi baada ya mbunge wa lindi  mjini salum buruani akuchangia hotuba  ya bajeti ya wizara ya fedha kwa mwaka wa fedha 2014/15.

Naombeni waheshimiwa tutumie utaratibu  wa kawida katika  kupiga makofi bungeni  alsiema spika makinda  baada ya  wbunge kuanza kunong’ona  kutokana na hatua ya mwenzao huyo.

Kauli hiyo ilitokana na mmoja wa wabunge kupiga makofi kwa  kutumia  bakuli ambalo hutumika kawa ajili ya kuwekea  pipi za wabunge  wakati wakiendela na vikao  vnaniya ukumbu wa bunge.

0 Responses to “MBUNGE MAKOFI KWA BAKULI.”

Post a Comment

More to Read