Saturday, June 21, 2014
VICKY KAMATA AFUNGUKA MAZITO NI BAADA YA KUFANYIWA BONGE LA SHEREHE.
Do you like this story?
BAADA ya kimya kirefu tangu ndoa
iliyopagwa kufungwa kati yake na Charles Pai kuyeyuka, Mbunge wa Viti Maalum
(CCM) anayewakilisha vijana Mkoa wa Geita, Vicky Kamata ameibuka na kufunguka
mambo mengi lakini kubwa ni kwamba, amefanyiwa sherehe.Akizungumza na Risasi
Jumamosi, juzi Alhamisi kwa njia ya simu akiwa bungeni Dodoma, Vicky alisema
watu wamezungumza mengi kuhusiana na ishu ya ndoa yake kuhairishwa lakini
hakuna aliyesema ukweli.
“Watu wanaongea sana. Wamezungumza mengi lakini mimi ndiye mwenye ukweli. Nawashukuru sana wale ambao wamekuwa upande wangu katika kipindi kigumu nilichopitia.
“Ilifikia hatua baadhi ya wabunge wenzangu wanawake waliamua kunifanyia dinner party (hafla ya mlo wa usiku). Ilinifariji sana, wengine ni watu wazima, mama zangu walinipa moyo sana kwa yaliyotokea.
“Walikuwa wabunge wengi, nakumbuka hata mama zangu, Tibaijuka (Ana – Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi) na mama Kilango (Anne Malecela – Mbunge wa Same Mashariki) walikuwepo,” alisema na kuongeza:

“Walinipa moyo,
wakaniambia nitulie nifanye kazi. Kila kitu namwachia Mungu. Walinichangia
mpaka fedha, kwa kweli nawashukuru sana kwa kampani yao, wote wanajijua, siwezi
kuwataja wote.”
“Kuna watu wanapakaza kuwa, eti mchumba wangu ni mume wa mtu ndiyo maana tukashindwa kufunga ndoa, siyo kweli. Nakiri kwamba aliwahi kuoa na aliachana na mke wake kisheria tangu mwaka 2012.
“Watu waache kuzungumzia mambo wasiyoyajua. Mimi ndiye ninayeujua ukweli, lakini najua wabaya wangu ndiyo wanaosambaza hayo maneno yasiyo na ukweli,” alisema Vicky.

“Ni vile watu hawaelewi, lakini ukweli ni kwamba kuna baadhi ya wabunge wana uadui na mimi. Hao ndiyo wanaosambaza habari za uongo magazetini. Kuna mwanamke aliibuka, akasema mchumba wangu ni mume wake, haikuwa kweli.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

.gif)

0 Responses to “VICKY KAMATA AFUNGUKA MAZITO NI BAADA YA KUFANYIWA BONGE LA SHEREHE.”
Post a Comment