Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo Jijini Dar es Salaam
wakati alipokuwa akizungumzia mikakati ya Wizara yake katika kutatua
changamoto zinazolikabiri Shirika la Reli laTanzania na Zambia (TAZARA).
Waandishi wahabari wakimfuatilia
kwa makini Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani)
mapema hii leo Jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akizungumzia
mikakati ya Wizara yake katika kutatua changamoto zinazolikabiri Shirika
la Reli laTanzania na Zambia (TAZARA). Picha zote na Eliphace Marwa (Maelezo)
0 Responses to “MWAKYEMBE AELEZA MIKAKATI YA WIZARA YAKE KUIOKOA TAZARA.”
0 Responses to “MWAKYEMBE AELEZA MIKAKATI YA WIZARA YAKE KUIOKOA TAZARA.”
Post a Comment