Saturday, August 2, 2014

WATUHUMIWA 19 WA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI ARUSHA.


WATUHUMIWA19 wa milipuko ya mabomu jijini Arusha wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi na kusomewa mashitaka ya mauaji, kula njama na kushawishi, ugaidi huku wakitakiwa  kutojibu chochote. Kesi yao imeahirishwa na itatajwa tena Agosti 15, mwaka huu.


0 Responses to “WATUHUMIWA 19 WA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI ARUSHA.”

Post a Comment

More to Read