Thursday, December 11, 2014
BILIONEA NIGERIA AMZAWADIA TAYO $ 350,000 BAADA YA KUKOSA ZA BIG BROTHER HOTSHOTS
Do you like this story?
![]() |
| Tayo. |
![]() |
| Bilionea Ayiri Emami. |
INADAIWA kuwa baada ya mshiriki wa Nigeria kwenye shindano
la Big Brother Hotshots, Tayo kuzikosa $ 300,000 za shindano hilo ambazo
zilichukuliwa na mshiriki kutoka Tanzania Idris Sultan, mfanyabiashara bilionea
na Nigeria ameamua kumzawadia Tayo $ 350,000 zaidi ya shilingi milioni 600.
Bilionea
huyo aitwaye Ayiri Emami ameamua kuongeza dola 50,000 juu zaidi ya ile ambayo
ilitolewa na Biggie ambayo ni $300,000 kutokana na kuwa shabiki mkubwa wa Tayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.gif)



0 Responses to “ BILIONEA NIGERIA AMZAWADIA TAYO $ 350,000 BAADA YA KUKOSA ZA BIG BROTHER HOTSHOTS ”
Post a Comment