Saturday, February 28, 2015
MAJONZI MSIBANI NYUMBANI KWA KOMBA.
Do you like this story?
| Makazi ya marehemu John Komba, Mbezi Tangi Bovu jijini Dar |
| masikitiko na kilio kwa mjane wa marehemu, Bi. Salome Komba |
| Wabunge wa Chadema, Joseph Mbilinyi 'Sugu' (kushoto) na Godbless Lema (kulia) wakizungumza na Mhe. William Lukuvi msibani |
| .ni kilio na huzuni kubwa kwa Malkia wa Tarabu Khadija Kopa, ambaye alikuwa chini ya Komba katika kikundi cha taarabu cha TOT |
| Mtoto wa marehemu Kapteni John Komba (katikati) akitolewa ndani kutokana na matatizo aliyonayo ya moyo. |
| Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akimfariji mke wa marehemu, Salome komba |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.gif)

0 Responses to “MAJONZI MSIBANI NYUMBANI KWA KOMBA.”
Post a Comment