Friday, February 20, 2015
TAARIFA> MSANII WA BONGO FLEVA MEZ B AMEFARIKI DUNIA.
Do you like this story?
Msanii
Mez B aka Moses aliyekuwa Mkoani Dodoma kwa matibabu baada ya kurudishwa
nyumbani na mama yake amefariki Dunia. Mez B alikuwa akiuguliwa na homa ya
mapafu [TB] na alikuwa kwenye dozi na leo ilikuwa siku ya tatu toka anatumia
dawa hizo.
Leo
asubuhi aliamka na kunywa dawa na chakula ila hali yake haikuwa sawa na
kuonekana amelegea. Daktari wake alipigiwa siku na kuamuru awekewe drip ila
hali yake ikawa mbaya zaidi, wakati wanampeleka hospitalini alifia walipofika
mapokezi. Jirana amelezea haya.
Pole
kwa familia ya Mez B, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema, Amen.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “TAARIFA> MSANII WA BONGO FLEVA MEZ B AMEFARIKI DUNIA.”
Post a Comment