Friday, May 22, 2015
MAREKANI YAKIRI KUUWA RAIA
Do you like this story?
Marekani imekiri, kwa
mara ya kwanza kuhusika na mapigano ya anga dhidi ya kikosi cha kiislamu
yaliyopelekea baadhi ya raia kuuawa. Katika mkutano wa dharula Pentagon Mkuu wa
kikosi Luteni Jenerali James Terry ,aliomba radhi kwa mauaji ambayo yalitokea
bila kukusudia na kuua watoto wawili waliouawa wakati wa machafuko nchini Syria
mwaka jana.
Kufuatia tukio lililotokea mjini Palmyra na
Ramadi katika kipindi cha wiki limehusishwa kama kisasi . Ingawa Rais Obama
alisisitiza kuwa Marekani ilikuwa si ya kupoteza vita na wapiganaji . Rais
aliahidi msaada zaidi kwa vikosi vya usalama nchini Iraq na kusema Marekani
itajaribu kuongeza mafunzo ya kijeshi katika maeneo ya Sunni . Siku moja baada
ya mji wa Syria wa Palmyra kuanguka , Wakazi wa eneo hilo wanasema waislamu
wenye siasa kali bado wanawasaka wale wanaounga mkono serikali.
Hata hivyo wapiganaji wa Kiislamu
wameripotiwa kuwa wengi zaidi ya ulinzi wa eneo la mashariki mwa Iraq, huku
wakijaribu himaya yao huko.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ MAREKANI YAKIRI KUUWA RAIA”
Post a Comment