Tuesday, June 23, 2015
BUNGE LAPITISHA BAJETI YA SERIKALI 2015/2016 KWA ASILIMIA 83
Do you like this story?
Taarifa kutoka Bungeni Mjini Dodoma,
bunge la jamhuri ya Muungano wa tanzania limepitisha bajeti kuu ya serikali kwa
mwaka 2015/2016
katika kura za ndio na za hapana
zilizokuwa zikipigwa bungeni na matokeo kutangazwa na katibu wa bunge na
kumaliziwa na Spika Anne Makinda ni kama ifuatavyo
Idadi ya wabunge walipiga kura 294,
ambao hawakuwepo ni 59, waliosema HAPANA 74 waliosema NDIYO ni 219
"Kwa maana hiyo Bajeti ya serikali
kwa mwaka wa fedha 2015/2016 imepitishwa na bunge kwa kura 219 sawa na asilimia
83" amesema Spika Anna Makinda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BUNGE LAPITISHA BAJETI YA SERIKALI 2015/2016 KWA ASILIMIA 83”
Post a Comment