Tuesday, June 23, 2015

KOCHA WA TAIFA STARS ALIYEFUKUZWA "ATINGA" BUNGENI DODOMA




Kocha wa timu ya Taifa TZ, Taifa Stars alijikuta kibarua chake kikifikia mwishoni baada ya kusimamishwa kuifundisha timu hiyo baada ya kuwa na matokeo mabaya mfululizo.

Ishu imeingia Bungeni, Mbunge Iddi Azan aliuliza swali >>> “Timu ya Taifa imefanya vibaya na Kocha amefukuzwa, Serikali inachukua hatua gani kwa sababu tangu siku ya kwanza alionekana mbovu kwa kuwa alifukuzwa Msumbiji” >>> Iddi Azan.

Alitegemewa kuwa Kocha ambaye angetuletea ushindi, hili la kumfukuza Kocha kuna mchakato unaendelea kuhakisha anabadilishwa… Katika masuala ya michezo uwezo wa Kocha mutategemea na timu nzuri ya wachezaji” >>> Waziri Fenella Mukangala.

0 Responses to “KOCHA WA TAIFA STARS ALIYEFUKUZWA "ATINGA" BUNGENI DODOMA ”

Post a Comment

More to Read