Wednesday, September 23, 2015

JIJI LA DAR ES SALAAM LASHIKILIA NAFASI YA SITA MIONGONI MWA MAJIJI YALIYOATHIRIKA NA VIRUSI VYA UKIMWI BARANI AFRIKA








Jiji la Dar es Salaam, lashikilia nafasi ya sita miongoni mwa majiji yaliyoathirika na Virusi Vya Ukimwi barani Afrika.


Takwimu hizo zopo kwenye ripoti iliyofanywa na shirika la kimataifa la wahamiaji (IOM) uliofanywa kwenye Bandari ya Dar es Salaam na kuangalia namna jamii za watu wa maeneo ya bandari walivyo na uwezekano wa kupata maambukizi mapya ya ugonjwa huo kutokana na mwingiliano wa mataifa mbalimbali.


Viti dhidi ya ugonjwa huo vinaendelea na jamii ya kimataifa inaamini mpaka mwaka 2030 utakuwa historia ingawa kuna kazi kubwa inahitajika kufanywa ili kufikia lengo hilo la kuukabili Ukimwi

0 Responses to “JIJI LA DAR ES SALAAM LASHIKILIA NAFASI YA SITA MIONGONI MWA MAJIJI YALIYOATHIRIKA NA VIRUSI VYA UKIMWI BARANI AFRIKA”

Post a Comment

More to Read