Wednesday, September 23, 2015

-MWILI WA MWALIMU ALIYEPOTEA KIMAAJABU WAKUTWA UMEFUKIWA SHAMBANI KWA MWALIMU MWENZAKE NJOMBE



Mabaki ya Mwili wa Aliyekuwa Mwalimi mkuu shule ya msingi Muholo kata ya Luana wilayani Ludewa katika Mkoa wa Njombe aliyepotea ktk mazingira ya kutatanisha tareh 29 mei 2015 Majuto Haule mwili wake umekutwa umefukiwa katika shamba la mwalimu Vincent Haule Nje kidogo ya kijiji cha Muholo leo


Mwalimu Vincent Haule wa shule ya msingi Luana ambaye ndo mmiliki wa shamba alimofukiwa marehemu mwalimu Majuto 

0 Responses to “ -MWILI WA MWALIMU ALIYEPOTEA KIMAAJABU WAKUTWA UMEFUKIWA SHAMBANI KWA MWALIMU MWENZAKE NJOMBE”

Post a Comment

More to Read