Wednesday, September 23, 2015

PICHA WACHAWI WALIOKUWA WAKISAFIRI KWA UNGO WAANGUKA MKOANI NJOMBE


Watu Wanaodaiwa Kuanguaka Kwa Imani za Kishirikina Wilayani Wanging'ombe Hao Hapo


- Picha na Gabriel Kilamlya, Njombe




Watu Watatu Ambao Hawajajulikana Majina Yao Jinsi ya Kiume Wamekutwa Wameanguka Katika Kijiji Cha Utiga Wilayani Wanging'ombe Mkoani Njombe Kwa Imani za Kishirikina.

Watu Hao Ambao Hawajafahamika Mara Moja Wanakotoka Wanadaiwa Kuwa Walikuwa Safarini Kuelekea Songea Mkoani Ruvuma Lakini Walipofika Katika Kijiji Hicho Ndipo Walipoanguka.






Picha na Gabriel Kilamlya, Njombe

0 Responses to “ PICHA WACHAWI WALIOKUWA WAKISAFIRI KWA UNGO WAANGUKA MKOANI NJOMBE”

Post a Comment

More to Read