KAMANDA wa Polisi Kikosi cha Usalama
Barabarani Nchini, Kamishna Mohamed Mpinga (katikati), akikabidhi Ripoti
ya upimaji wa Afya za Madereva kwa Meneja Mahusiano ya Nje wa Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Emma Oriyo, Dar es Salaam jana, baada ya
zoezi la kupima Afya za madereva lililofanyika Mikese, mkoani Morogoro,
Msata mkoani Pwani na Segera, mkoani Tanga. Kushoto ni Kamanda wa Kikosi
cha Afya cha Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi, Paul Kasabago. |
0 Responses to “KAMANDA MPINGA AKABIDHI TBL,RIPOTI YA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA.”
Post a Comment