Tuesday, October 27, 2015
MAJINA YA WABUNGE ZAIDI YA 40 WALIOTHIBITISHWA KUSHINDA UCHAGUZI MKUU 2015
Do you like this story?
Tunaendelea
kuzipata updates kila wakati kutoka
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuhusu matokeo ya Kura za
Wagombea Urais kwenye uchaguzi uliofanyika October 25 2015 Tanzania.
Ripoti
za matokeo ya waliopita kwenye Ubunge na Udiwani zinaendelea kutoka, lakini
kwingine bado mambo hayajawa sawa.
Hii
ni sehemu ya majina niliyoyapata kwenye ripoti ya Kituo cha Azam TV kuhusu
waliopita kwenye nafasi ya Ubunge..
Busega
– Rafael Chegeni (CCM)Nyamagana Mwanza – Stanslaus Mabula (CCM)
Kibamba – John Mnyika (CHADEMA)
Nsalala – Ezekiel Maige (CCM)
Ngara – Alex Gashaza (CCM)
Kigamboni Dar es salaam– Faustine Ndugulile (CCM)
Mikumi – Joseph Haule (Profesa Jay) – CHADEMA
Kisarawe– Suleiman Jaffo (CCM)
Bagamoyo -Dk. Shukuru Kawamba (CCM)
Ilemela (Mwanza) – Angelina Mabula (CCM)
Bukoba Mjini – Wilfred Lwakatare (CHADEMA)
Ilala – Mussa Azan Zungu (CCM)
Singida Mjini – Mussa Sima (CCM)
Same Magharibi– Mathayo David Mathayo (CCM)
Same Mashariki– Nagenjwa Kayoboka (CHADEMA)
Rombo– Joseph Selasini (CHADEMA)
Rungwe– Saul Henry Amon (CCM)
Mbogwe– Stephen Masele (CCM)
Bunda– Esther Bulaya (CHADEMA)
Chalinze– Ridhiwan Kikwete (CCM)
Bagamoyo– Shukuru Jumanne Kawambwa (CCM)
Iramba Mashariki – Mwigulu Nchemba (CCM)
Hai (Kilimanjaro) – Freeman Aikaeli Mbowe (CHADEMA)
Mbeya Mjini – Joseph Osmond Mbilinyi (CHADEMA)
Hanang – Mary Nagu (CCM)
Lupembe – Joram Ismael Hongoli (CCM)
Kigoma Mjini – Zitto Zubery Kabwe (ACT- Wazalendo)
Dodoma Mjini– Antony Mavunde (CCM)
Mtama (Lindi)– Nape Moses Nnauye (CCM)
Babati Vijijini– Jitu Soni (CCM)
Kawe (Dar) – Halima James Mdee (CHADEMA)
Mbeya Mjini– Joseph Osmund Mbilinyi (CHADEMA)
Kahama Mjini – Kishimba Jumanne Kibera (CCM)
Sikonge (Tabora) – George Kakunda (CCM)
Nzega Mjini– Hussein Mohammed Bashe (CCM)
Urambo (Tabora)– Margaret Sitta (CCM)
Singida Mjini– Mussa Sima (CCM)
Mpanda Vijijini – Moshi Selemani Kakoso (CCM)
Geita Mjini – Constantine Kanyasu (CCM)
Mbeya Vijijini– Oran Njeza (CCM)
Mafinga Mjini– Cosato Chumi (CCM)
Kalenga (Iringa)– Godfrey Mgimwa (CCM)
Isimani (Iringa) – William Lukuvi (CCM)
Songea Mjini – Leonidas Gama (CCM)
Kilombero – Peter Ambrose (CHADEMA)
Iramba Mashariki – Allan Joseph Kiula (CCM)
Newala (Mtwara) – George Mkuchika (CCM)
Kavuu (Katavi) – Prudenciana Kikwembe (CCM)
Longido (Arusha) – Onesmo Nangole (CHADEMA)
Kwimba (Mwanza) – Mansoor Shanif Hirani (CCM)
Bukoba Vijijini – Jason Rweikiza (CCM)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MAJINA YA WABUNGE ZAIDI YA 40 WALIOTHIBITISHWA KUSHINDA UCHAGUZI MKUU 2015”
Post a Comment