Tuesday, October 27, 2015

MATOKEO YA UCHAGUZI WA JIMBO LA MAKETE 2015


Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Makete ambaye pia ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Makete Bw. Francis Namaumbo (aliyesimama) akitangaza matokeo ya Ubunge jimbo la Makete jana jioni katika ukumbi wa halmashauri hiyo -


 Mshindi wa Ubunge jimbo la Makete kupitia CCM Prof Norman Sigalla akipokea cheti cha kuonesha kuwa ndiye aliyeibuka kidedea katika uchaguzi huo kutoka kwa msimamizi wa Uchaguzi Bw Francis Namaumbo


 
 Prof Norman Sigalla akipiga makofi baada ya kutangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge jimbo la Makete kupitia CCM



Mbunge mteule wa jimbo la Makete kupitia CCM Prof Norman Sigalla akizungumza baada ya kutangazwa kuwa ni mshindi 

0 Responses to “MATOKEO YA UCHAGUZI WA JIMBO LA MAKETE 2015”

Post a Comment

More to Read