Wednesday, October 7, 2015
MGOMBEA UDIWANI KATA YA SISIMBA AZINDUA KAMPENI.
Do you like this story?
| Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chadema Mh Joseph Mbilinyi (Sugu)akitoa sera zake kwa wakazi wa kata ya Sisismba jijini Mbeya(Picha na David Nyembe wa Fahari News) |
| Wananchi wa kata ya sisimba wakimsikiliza kwa makini Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chadema Mh Joseph Mbilinyi (Sugu) |
| Mgombea wa kiti cha udiwani Kata ya Sisismba Bw Jofrey Kajigili akitoa sera zake kwa wananchi. |
| Ezekia Charles Mwawipa Mwenye Umri wa Miaka kumi na saba(17)akipigia kampeni Diwani wa Kata ya Sisimba Bw Jofrey Kajigili. |
| Wananchi wa kata ya sisimba wakimsikiliza kwa makini Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chadema Mh Joseph Mbilinyi (Sugu) |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.gif)

0 Responses to “MGOMBEA UDIWANI KATA YA SISIMBA AZINDUA KAMPENI.”
Post a Comment