Saturday, October 10, 2015
MLIPUKO WAUA 30 UTURUKI
Do you like this story?
Milipuko miwili
imetokea kwenye mkutano wa hadhara kati kati mwa mji mkuu wa Uturuki , Ankara
wakati watu walikuwa wamekusanyika kufanya maandamano ya amani.,
Vyombo vya habari vinasemna kuwa takriban
watu 30 waliuawa.
Picha za televisheni zilionyesha watu
waliokuw na hofu na wengine wakiwa wamelala chini wakiwa wamejawa damu.
Huku duru ya pili ya uchaguzi wa ubunge
ikifanyika mwezi ujao , maandanmano hayo yalipangwa na vyama vya wafanyikazi
wakitaka kumalizika kwa mashambulii yanayoendeshwa na serikali dhidi ya
wanamgambo wa kurdi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MLIPUKO WAUA 30 UTURUKI”
Post a Comment