Tuesday, October 13, 2015

TASWIRA NNE ZA MWAMBUSI ALIVYOANZA KAZI YANGA CHINI YA PLUIJM






Aliyekuwa kocha mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi ameanza kazi Yanga akiwa ni kocha msaidizi.

Mwambusi ameanza kazi kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam, jana chini ya Mholanzi, Hans van der Pluijm.

Kocha huyo mzelendo, amechukua nafasi ya mzalendo mwenzake, Charles Boniface Mkwasa ambaye ameajiriwa kuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars.

0 Responses to “TASWIRA NNE ZA MWAMBUSI ALIVYOANZA KAZI YANGA CHINI YA PLUIJM”

Post a Comment

More to Read