Friday, January 22, 2016

PICHA : RAIS MAGUFULI AVAA SARE ZA JESHI AKIWA ARUSHA


Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Arusha Mjini wakati akipita Barabarani kuelekea Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli ambako pamoja na mambo mengine kesho Januari 23, anatarajiwa kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli kundi la 57/15.



Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt Magufuli akiwasikiliza wananchi kwa makini alipopita maeneno ya Sanawali kuwasalimia wakati akielekea Wilayani Monduli.


0 Responses to “ PICHA : RAIS MAGUFULI AVAA SARE ZA JESHI AKIWA ARUSHA”

Post a Comment

More to Read