Wednesday, February 10, 2016

KUELEKEA VALENTINE"S DINNER & DANCE TAZAMA NA MSIKILIZE MKURUGENZI WA JAGRO ENTERPRISES AKIELEZEA SHOW NZIMA ITAKAVYOKUWA PALE USUNGILO CITY HOTEL. MBEYA


Mkurugenzi wa Jagro Enteprises Bi Sarah Nyambura Ndambo akitoa maelezo Kuelekea Siku ya Wapendanao Ambayo itafanyika katika Hotel ya Usungilo Siku ya Jumapili, hii sio ya kukosa Maana kutakuwa na Zawadi Kemkem kwa wale watakao Pendeza sana.

0 Responses to “KUELEKEA VALENTINE"S DINNER & DANCE TAZAMA NA MSIKILIZE MKURUGENZI WA JAGRO ENTERPRISES AKIELEZEA SHOW NZIMA ITAKAVYOKUWA PALE USUNGILO CITY HOTEL. MBEYA”

Post a Comment

More to Read