Tuesday, February 9, 2016
MBUZI NA KONDOO 200 WAKATWAKATWA MAPANGA MOROGORO
Do you like this story?
Mwigulu Nchemba (katikati) akiangalia mifugo waliokatwakatwa na walinzi wa jadi kutoka Gairo. |
Waziri wa Mifugo na Kilimo, Mwigulu Nchemba (katikati) akiwa na Mkuu wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo (mwenye kofia kutokea kulia) wakielekea eneo la tukio. |
Zaidi ya Mbuzi na kondoo 200 huko Dihinda
Mvomero mkoani Morogoro wamekatwakatwa na walinzi wa jadi kutoka Gairo
wanaojulikana kwa jina la Mwanu ‘
Taarifa zinadai kuwa mifugo hiyo ilikula nusu
ekari ya mazao ya mkulima mmoja kijijini hapo na taarifa zikawafikia walinzi
hao ambao walifika na kukatakata mifugo hiyo mali ya mama mmoja mjane mfugaji
wa jamii ya kimasai
Lakini Inadaiwa kuwa mifugo ya mama huyo
haikuhusika kula mazao hayo bali ni mifugo ya mfugaji mwingine.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ MBUZI NA KONDOO 200 WAKATWAKATWA MAPANGA MOROGORO”
Post a Comment