Tuesday, March 15, 2016

NAPE NNAUYE: MAAFISA HABARI WA SERIKALI MUSIWAKIMBIE WAANDISHI.

Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Mhe Nape Nnauye akifungua kikao chao cha kazi cha mwaka cha Maafisa habari na mawasiliano serikalini katika ukumbi wa VETA, Morogoro .

Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Mhe Nape Nnauye akifungua kikao chao cha kazi cha mwaka cha Maafisa habari na mawasiliano serikalini katika ukumbi wa VETA, Morogoro .

Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Mhe Nape Nnauye amewataka maafisa wa habari wa Serikali kuacha tabia ya kuogopa na kuwakimbia waandishi wa Habari na baadala yake wawe tayari kuwasilikiliza ilikuwa na mahusiano mazuri.

Mh. Nape amesema hayo, wakati wa ufunguzi wa kikao  cha Maafisa habari na mawasiliano serikalini katika ukumbi wa VETA, Morogoro.

0 Responses to “ NAPE NNAUYE: MAAFISA HABARI WA SERIKALI MUSIWAKIMBIE WAANDISHI.”

Post a Comment

More to Read