Thursday, April 7, 2016

KAMPUNI YA PEPSI YATOA MSAADA WA GYPSUM BOARD 200 KWA SHULE YA SEKONDARI IYUNGA.


Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Mh Nyilembe Munasa (kushoto) akipokea Msaada wa mfuko wa unga wa Gypsum kwaajili ya ukarabati wa Shule ya Sekondari Iyunga kutoka kwa Afisa Rasilimali watu Pepsi Bw Edwin Arbogast.(Picha na David Nyembe wa Fahari News)

Gari ikiwa imebeba Msaada kutoka Pespi Gypsum Board 200.


Afisa Rasilimali watu Pepsi Bw Edwin Arbogast akiongea na waandishi wa Habari hawapo Pichani.(Picha na David Nyembe wa Fahari News)

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Iyunga Bw Edward Mwantimwa akitoa Shukrani kwa Kampuni ya Pepsi kwa Msaada waliotoa..(Picha na David Nyembe wa Fahari News)

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Mh Nyilembe Munasa akitoa shukrani kwa Uongozi Mzima wa Kampuni ya Pepsi kwa Msaada wa Gypsum Board 200.(Picha na David Nyembe wa Fahari News)


0 Responses to “KAMPUNI YA PEPSI YATOA MSAADA WA GYPSUM BOARD 200 KWA SHULE YA SEKONDARI IYUNGA.”

Post a Comment

More to Read