Monday, May 22, 2017

Askofu Gwajima awajibu waliomtabiria kifo


Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema hatakufa hadi pale atakapotimiza lile lililomleta duniani.

 Ameyasema hayo leo wakati wa ibada ya Jumapili kanisani kwake ikiwa ni siku chache baada ya mhubiri mmoja wa kimataifa kutabiri kuwa Gwajima atakufa ifikapo 2018.

“Mungu ndiye anajua siku saa na dakika ya kufa kwangu si mwanadamu,” amesema Gwajima

0 Responses to “Askofu Gwajima awajibu waliomtabiria kifo ”

Post a Comment

More to Read