Monday, May 1, 2017

MKUU WA MKOA WA MBEYA AWAONGOZA WAFANYAKAZI NA WANANCHI WA MKOA WA MBEYA KTK SHEREHE ZA MEI MOSI 2017


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Amosi Makalla akisalimiana na viongozi wa vyama mbalimbali vya wafanyakazi leo katika uwanja wa Sokoine kwenye siku ya Wafanyakazi.(Picha na Dvid Nyembe wa Fahari News Mbeya)








 Ahaidi kushughulikia matatitizo ya wafanyakazi yalionekana YA uwezo wa mkoa na yale YA kisera atayawasikisha wizara au mamlaka husika kwa wakati

 Amesema serikali haitomuonea mfanyakazi yeyote katika uwajibishaji au hatua za nidhamu bali serikali itazingatia sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi
Aidha  Amewataka waajiri kuwasilisha michango ya wafanyakazi katika mifuko ya Hifadhi ya jamii kwa mujibu wa sheria
 
Hata hivyo amewakumbusha wafanyakazi pamoja na haki watimize wajibu wao kwa kufanya kazi kwa bidii
Pia Amewashukuru wafanyakazi na VIONGOZI wa wafanyakazi kwa kushirikiana na serikali ktk kushughulikia changamoto za wafanyakazi

0 Responses to “MKUU WA MKOA WA MBEYA AWAONGOZA WAFANYAKAZI NA WANANCHI WA MKOA WA MBEYA KTK SHEREHE ZA MEI MOSI 2017”

Post a Comment

More to Read