Friday, September 8, 2017

WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA WAFANYA ZIARA KATIKA VYANZO VYA MAJI.

Baadhi ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya wakiwa wametoka kutembelea moja ya vyanzo vya maji vilivyopo ndani ya Jiji la Mbeya kujionea Upungufu wa Maji kwa kiwango kikubwa(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)

Moja ya Chanzo cha Maji kilichopo katika kata ya Iyela jijini Mbeya

Baadhi ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya wakiwa wametoka kutembelea moja ya vyanzo vya maji vilivyopo ndani ya Jiji la Mbeya kujionea Upungufu wa Maji kwa kiwango kikubwa(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)

Waandishi wa Habari wakifanya Mahojiano na Afisa Mazingira Bw Keneth Kalambo juu ya Uwalibifu wa mazingira ambao umepelekea kuwa na Mgao wa Maji Baadhi ya maeneo katika jiji la Mbeya.(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)

Moja ya Chanzo cha Maji

Baadhi ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya wakiwa wametoka kutembelea moja ya vyanzo vya maji vilivyopo ndani ya Jiji la Mbeya kujionea Upungufu wa Maji kwa kiwango kikubwa(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)

0 Responses to “WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA WAFANYA ZIARA KATIKA VYANZO VYA MAJI.”

Post a Comment

More to Read