Thursday, March 20, 2014

MARUFUKU WASIOAPA KUSHIRIKI BUNGE LA KATIBA.




Wajumbe wa Bunge la katiba ambao  hawajaapa  hawawezi kuhudhuria  vikao vya kamati za chombo hicho mpaka watakapofanya hivyo.

Mwenyekiti wa  sekretarieti ya maandalizi ya bunge hilo john joel  aliliambia gazeti hili kuwa wajumbe hao hawatahudhuria vikao hivyo hadi watakapoapa.

Kauli hiyo ya joel imekuja huku kukiwa na taarifa za wjaumbe kadhaa wa bunge maalumu la kativa ambao  hawajaapa  wakiwamo baadhi ua wabunge  wa chadema  waliokwenda mkoani iringa kushiriki uchaguzi mdogo wa ubunge.

Sijui wataapishwa lini lakini kama hawajapishwa  hawawezi kuingia  kwatika vikao vya kamati alisema joel.

Kazi ya kaapisha ilikamilika huku baadhi ya wabunge wakiwa hawajaapa . baadhi ya wajumbe waliapa  juzi kabla ya mwenyekiti  wa tume ya mabadiliko  ya katiba jaji joseph Warioba  kuwasilisha rasimu ya pili ya katiba.

Alizungumzia kuhusu baadhi ya wajumbe kuongeza maneno ama kupunguza katika viapo vyuao joel alisema kuwa viapo hivyo siyo batili.

0 Responses to “MARUFUKU WASIOAPA KUSHIRIKI BUNGE LA KATIBA.”

Post a Comment

More to Read