Saturday, March 8, 2014

MBEYA CITY YATUNISHA KIFUA MBELE.


Mbeya city
Kikosi cha Mbeya City kikiwa kinafanya Mazoezi baada ya kumaliza mchezo na Rhino ambayo ilichapwa 3 kwa 1 katika kiwanja cha Sokoine

Mashabiki wa Mbeya City

Mchezaji wa Mbeya City Richard Peter maarufu kama(Chundu) akiwa nje ya uwanja baada ya kuumia vibaya eneo la kifua na kushindwa kupumua

Akiwa anawaishwa hospital

Mchezaji Richard Peter akiwa katika hospital ya Rufaa Mbeya  kwaajili ya uchunguzi zaidi baada ya kugongana na Kipa wa Rhino ambao wamechalazwa 3 kwa 1

0 Responses to “MBEYA CITY YATUNISHA KIFUA MBELE.”

Post a Comment

More to Read