Thursday, April 24, 2014

UBOVU WA BARABARA WAKATI WA MASIKA WAPELEKEA CHANJO KUCHELEWA KUFIKA KWA WAKATI KWENYE ZAHANATI WILAYANI MAKETE.


Katibu tawala wilaya ya Makete Joseph Chota ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya Makete, akitoa hotuba kwa wananchi wa kijiji cha Isapulano

Mgeni rasmi Joseph Chota akitoa chanjo kwa mtoto Elifata Tweve.

Kulia ni baba aliyeonesha mfano kwa kumleta mtoto wake wa kike kupata chanjo

 Wananchi wakipanga foleni kwenda kuwapa watoto wao chanjo.

0 Responses to “UBOVU WA BARABARA WAKATI WA MASIKA WAPELEKEA CHANJO KUCHELEWA KUFIKA KWA WAKATI KWENYE ZAHANATI WILAYANI MAKETE.”

Post a Comment

More to Read