Tuesday, October 28, 2014
YAYA TOURE AWAKALISHA TENA AFRIKA KATIKA WACHEZAJI 23 WANAOGOMBANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA FIFA 2014
Do you like this story?
Mchezaji
bora wa FIFA mwaka jana, Christiano Ronaldo pamoja na mshindi wa tuzo hiyo mara
nne mfululizo 2009-2012, Andrew Leonel Messi ni miongoni mwa wananandinga 23
walioteliwa na FIFA kugombea tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2014 huku klabu za
Real Madrid na Bayern Munich zikiongoza kwa kuwa na wachezaji wengi katika
orodha hiyo.
Katika
orodha hiyo, bara la Ulaya ndilo limetawala kwa kuwa na wachezaji wengi zaidi
ambao jumla yao ni wacheza 17, Amerika ya kusini wao wametoa wachezaji 5 huku
Afrika ikifanikiwa kuwa na mwakilishi mmoja tu (Yaya Toure). Mshindi wa tuzo
hiyo anatarjiwa kutangazwa mwezi Januari mwaka huu.
Orodha ya
wachezaji wanaogombania tuzo ya mchezaji bora wa FIA 2014 ni hawa:
Gareth Bale, Wales, Real Madrid
Karim Benzema, France, Real Madrid
Diego Costa, Spain, Chelsea
Thibaut Courtois, Belgium, Chelsea
Angel Di Maria, Argentina, Manchester United
Mario Gotze, Germany, Bayern Munich
Eden Hazard, Belgium, Chelsea
Zlatan Ibrahimovic, Sweden, Paris Saint-Germain
Andres Iniesta, Spain, Barcelona
Toni Kroos, Germany, Real Madrid
Philipp Lahm, Germany, Bayern Munich
Javier Mascherano, Argentina, Barcelona
Lionel Messi, Argentina, Barcelona
Thomas Muller, Germany, Bayern Munich
Manuel Neuer, Germany, Bayern Munich
Neymar, Brazil, Barcelona
Paul Pogba, France, Juventus
Sergio Ramos, Spain, Real Madrid
Arjen Robben, Netherlands, Bayern Munich
James Rodriguez, Colombia, Real Madrid
Cristiano Ronaldo, Portugal, Real Madrid
Bastian Schweinsteiger, Germany, Bayern Munich
Yaya Toure, Ivory Coast, Manchester CityMabali
Mbali na hiyo, hii pia ni orodha ya makocha wanao gombania
tuzo za ukocha bora wa mwaka 2014.
Carlo Ancelotti, Real Madrid
Antonio Conte, Juventus/Italy
Pep Guardiola, Bayern Munich
Jurgen Klinsmann, United States
Joachim Low, Germany
Jose Mourinho, Chelsea
Manuel Pellegrini, Manchester City
Alejandro Sabella, Argentina
Diego Simeone, Atletico Madrid
Louis van Gaal, Netherlands/Manchester United
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “YAYA TOURE AWAKALISHA TENA AFRIKA KATIKA WACHEZAJI 23 WANAOGOMBANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA FIFA 2014”
Post a Comment