Friday, March 28, 2014
WANAJESHI WA MAREKANI WAFUTWA KAZI.
Do you like this story?
Wanajeshi 9 wa kinyuklia wafutwa
kazi kwa udanganyifu
Jeshi la
angani la Marekani limewafuta kazi maafisa wake tisa katika kambi moja ya
silaha za kinyuklia baada ya kudanya katika mtihani.
Afisa mwengine katika kambi hiyo ya Malmstrom mjini Montana amejiuzulu.
Wachunguzi wanasema kuwa maafisa hao wa jeshi walihisi kulazimishwa kupasi asilimia 100% katika kila mtihani.
Uchunguzi huo umebaini kuwa maafisa hao hawakushiriki katika udanganyifu lakini walishindwa kutoa usimamizi wa kutosha
Udanganyifu huo ulibainika kufuatia uchunguzi wa utumizi wa mihadarati katika kambi hiyo.
BBC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “WANAJESHI WA MAREKANI WAFUTWA KAZI.”
Post a Comment