Wednesday, April 2, 2014
MAJANGILI 6 YAKAMATWA NA MENO YA TEMBO 53 YENYE JUMLA YA KILO 169.7.
Do you like this story?
Meneja Uhusiano wa Tanapa,Pascal Sheluteteakifurahia jambo na wanahabari jijini Arusha |
Na
Pamela Mollel,Arusha
Wizara
ya maliasili na utalii imetangaza kukamatwa kwa meno 53 ya tembo yenye jumla ya
kilo 169.7na silaha moja ya kivita aina ya SMG na magazine tatu pamoj na
majangili sita katika wilaya ya manyoni mkoani singida
Akitangaza
mbele ya waandishi wa habari mkoani Arusha jana Waziri wa maliasili na utalii
Mh.Lazaro Nyalandu alisema tukio hilo lilitokea jana katika kijiji cha kiombo
Wilaya ya manyoni ambapo tembo 26 wameuwawa na majangili katika maeneo ya
hifadhi za Rungwa na Kizigo
Waziri
Nyalandu alisema kuwa jumla ya majangili 6 wameshikiliwa chini ya ulinzi mkali
katika kituo cha polisi cha Manyoni ambapo walikutwa na meno ya tembo 53,silaha
ya kivita moja na magazine tatu
Nyalandu
alisisitiza kuwa pamoja na changamoto kubwa iliyopo dhidi ya ujangili serikali
imeazimia kuwasaka na kuwakamata majangili na washirika wao popote walipo huku
akidai kuwa zoezi la kuwasaka ni la usiku na mchana
Aidha
alisema kuwa msako unaendelea kuwasata wauwaji wa tembe 26,huku akiwaomba
wananchi wenye taarifa kuhusu uhalifu watoe ushirikiano wao kwa askari wa
wanyama pori,jeshi la polisi na vyombo vya usalama
Pia
alitoa pongezi zake kwa mkurugenzi wa wanyama pori na kikosi chake dhidi ya
ujangili kanda ya kati Manyoni na kikosi kazi maalum(Task force)kwa weledi na
kujituma kwao ambapo imefanikisha kukamatwa majangili hao na meno ya tembo

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ MAJANGILI 6 YAKAMATWA NA MENO YA TEMBO 53 YENYE JUMLA YA KILO 169.7.”
Post a Comment