Friday, May 16, 2014

MAJINA YA KIKOSI CHA TAIFA STAR YATAJWA HAYA HAPA YASOME.





Kocha wa Taifa Stars Mart Nooij ametaja jina la kikosi kilicho kambini kwa ajili ya michezo miwili ya nyumbani na ugenini dhidi ya Zimbabwe katika kutafuta nafasi ya kushiriki kombe la mataifa ya Africa itakayofanyika Morocco mwakani. Kikosi hicho ni:

Magolikipa:
Deogratias Munishi
Aishi Manura

Mabeki:
Said Morad
Oscar Joshua
Kelvin Yondani
Erasto Nyoni
Nadir Haroub
Shomari Kapombe

Viungo:
Himidi Mao
Mwinyi Kazimoto
Frank Domayo
Amri Kiemba
Jonas Mkude
Haruna Chanongo
Simon Msuva

0 Responses to “MAJINA YA KIKOSI CHA TAIFA STAR YATAJWA HAYA HAPA YASOME.”

Post a Comment

More to Read