Thursday, May 15, 2014

SHEIKH ISSA PONDA ARUDISHWA RUMANDE.




Kiongozi wa taasisi ya kiisalmu Tanzania sheikh ponda issa ponda ameendelea kusota rumande baada ya kesi yake kuahirishwa  kwa mara nyingine kwa kuwa jalada  la kesi yake halijarudi kutoka mahakama kuu ya kanda ya dare s salaam lilikotishwa kwa ajali ya mapitio.

Kesi hiyo ilifungwuliwa katika mahakama ya hakumu mkazi mfawidhi mkoa wa mrogoro  mwaka jana iko mbele ya hakimu   mfawidhi wa Mahakam hiyo mary  moyo na imekuwa ikitajwa kwa zaidi ya miezi sita, huku sheikh ponda akiendelea kusota rumande baada ya kunyimwa dhamana.

Sheikh ponda anakabiliwa na mashtaka matatu ambayo ni kutotii amri halali iliyotolewa na mahakama ya ksutu ya kutokutoa maneno yenye kuharibu imani za dini na kushawishi  watu kutenda kosa ambayo anadaiwa kuyatenda agosti 10, 2013 jioni katika eneo  la kiwanja cha ndege morogoro.


Upande wa mashtaka uliwasilisha ombi mahakamani hapo kutaka sheikh ponda kuhojiwa na polisi kuhusiana na mashtaka yanayomkabili hakimu moyo alikubali ombi hilo na kumtaka ponda kuwa na imani na mahaka hiyo akisema itatenda haki kwa mujibu wa sheria na si vingine

0 Responses to “SHEIKH ISSA PONDA ARUDISHWA RUMANDE.”

Post a Comment

More to Read