Friday, July 4, 2014
JANUARY AJITOSA URAIS 2015
Do you like this story?
Naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia,
January makamba ametangaza nia yake ya kuwania urais akisema huu ni wakati wa kupitsha fikra mpya kuongoza
dola licha ya chama hicho kuzuia
kutangaza nia ya kupiga kampeni kabla ya muda.
Makamba mmoja wa makada wa CCM walioonywa na chama hicho baada ya kutuhumiwa kuanza kampeni mapema alijipigia debe kuwa
iwapo atapitishwa na chama hicho ataelekeza nguvu kwenye
vipaumbele vyake vine ambayo ni
ajira huduma za jamii uchumi imara na utawala bora.
Mbunge huyo wa bumbuli alisema hayo akiwa uingereza
anakohudhuria mkutano wa sekta ya mawasiliano baada ya kuhojiwa na shirika la utangazaji la uingereza na baadaye kufafanua nia hiyo katika
mahojiano na mwananchi jana.
Mwandishi huyo wa zamani wa hotuba za rais jakaya
kikwete alisema hadi sasa
ameshafanya uamuzi wa asilimia 90 kujitokeza kuwania nafasi hiyo ya juu kuliko
zote nchini bado asilimia 10 katika
baadahi ya mambo ambyo anaendelea
kuyatafakari kuzungumza na
makundi mbalimbali ya wazee viiongozi wa
dini na viongozi waliopita ili nipate ushauri wao kuhusu namna ya kufanya jambo
hili.
Alipoulizwa iwapo ameshawishiwa au kushinikizawa na
watu au ni ustashi wakae binafsi makamba alisema kuwa yote ni mchanganyiko.
Huwezi kuamka nyumbani na kusema unakwenda
kugombea kuna msukumo wa wapembe
wachache ambao ni lazima ukapime kwa
makini kabla ya kuchukua hatua yoyote
alisema.
Nchi nzima unakuta inazunguma uwe rais lazima upime na chagizo hizo ni za kweli au
zinatoka wapi lakini unposikia hadi
viongozi wa dini wanfunzi wa vyuo
unapokwenda wanakuuliza jambo hili hilo unatakiwa kutafakari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “JANUARY AJITOSA URAIS 2015”
Post a Comment