Tuesday, July 8, 2014
TAZAMA PICHA ZA UFUNGUZI WA TAWI JIPYA LA MBEYA CITY MTAA WA ISANGA JIJINI MBEYA
Do you like this story?
Mwenyekiti wa Timu ya Mbeya City Bw Musa Mapunda akitoa Hotuba yake kwenye ufunguzi wa Tawi jipya la Mbeya City Mtaa wa Isanga Jijini Mbeya |
Mheshimiwa Diwani wa kata ya Isanga Duru Mohamed ambae pia ni mlezi wa Tawi la Isanga |
Mwenyekiti wa Mbeya City Bw Musa Mapunda(aliyevaa sweta)akiwa na Mwenyekiti wa Tawi jipya la Isanga Emanuel Mwaipaja wakionyesha furaha ya Tawi jipya |
Washabiki wa Tawi Jipya la isanga wakionyesha ishara za ushindi zaidi |
Wanachama wa Tawi la Mbeya City Mtaa wa Isanga |
Picha na Fahari News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “TAZAMA PICHA ZA UFUNGUZI WA TAWI JIPYA LA MBEYA CITY MTAA WA ISANGA JIJINI MBEYA”
Post a Comment