Monday, August 4, 2014

TAZAMA PICHA ZA MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKIFUNGUA MASHINDANO YA AIRTEL RISING STARS JIJINI MBEYA.


Kuu wa Mkoa wa Mbeya  Bw Abbas Kandoro pamoja na mwenyekiti wa  Mpira wa miguu( mwenye suti nyeusi) Bw Elias Mwanjala Pamoja na Mwakilishi wa Mashindano wa Airtel katika ufunguzi wa Airtel Rising Stars




Kuu wa Mkoa wa Mbeya  Bw Abbas Kandoro akiwaasa vijana wenye umri wa miaka 17 kujituma katika kucheza Mpira


MKuu wa Mkoa wa Mbeya  Bw Abbas Kandoro akiwa na viongozi Mbalimbali wa soka wa Mkoa wa Mbeya katika picha ya pamoja na wachezaji wa kike chini ya miaka 17.



Kuu wa Mkoa wa Mbeya  Bw Abbas Kandoro akifungua Mashindano hayo kwa kupiga Mpira

Timu ya Bosa kutoka Mbozi

Timu ya Mbaspo kutoka Mbeya Mjini




Picha na Fahari News

0 Responses to “TAZAMA PICHA ZA MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKIFUNGUA MASHINDANO YA AIRTEL RISING STARS JIJINI MBEYA.”

Post a Comment

More to Read