Tuesday, September 2, 2014
LEO NI KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWANAHABARI DAUDI MWANGOSI.
Do you like this story?
![]() |
waandishi
wa habari mkoa wa Iringa ( IPC) Daudi Mwangosi.
|
ILIKUWA ni
majira ya saa 10 jioni ktk kijiji cha Nyololo wilaya ya
Mufindi tarehe kama ya leo tarehe 2/9/2012
alipopoteza maisha mwanahabari wa kituo cha
Chanel Teni na aliyekuwa mwenyekiti wa chama
cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa (
IPC) Daudi Mwangosi.
Wakati
tunakumbuka siku hii wanahabari Iringa tutaungana
kuadhimisha siku hii kwa kufanya sara fupi ktk
uwanja wa IDYDC Mtwivila na baada ya hapo utafanyika
mchezo wa kirafiki kama kutambua mchango wa
vyombo vya habari mkoa wa Iringa ila pia kuenzi
na kutambua mchango wake katika michezo kama njia ya
kudumisha mshikamano wetu wanahabari mkoa wa Iringa .
Pia kutakuwa na mazungumzo mafupi ya kukumbushana tulikotoka na tunanakokwenda katika utendaji kazi yake yatakayofanywa na mwenyekiti wa IPC Frank Leonard
Pia kutakuwa na mazungumzo mafupi ya kukumbushana tulikotoka na tunanakokwenda katika utendaji kazi yake yatakayofanywa na mwenyekiti wa IPC Frank Leonard
Pia
tutazindua kikombe cha upendo kwa ajili ya
mshikamano kwa wanahabari mkoa wa Iringa
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Amina
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Amina
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “LEO NI KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWANAHABARI DAUDI MWANGOSI.”
Post a Comment