Friday, November 7, 2014
KAMA UNATUMIA WHATSAPP,HII MPYA INAKUHUSU KABISA.
Do you like this story?
Nakumbuka moja ya taarifa kubwa zilizowahi kuchukua
headlines mwezi Februari 2014 ilikuwa ni stori ya kuuzwa kwa mtandao wa
Whatsapp kwa mmiliki wa Facebook, leo kuna taarifa nyingine mpya kuhusiana na
watumiaji wa mtandao wa Watsapp.
Haya ni mambo manne mapya ambayo huenda hujayasikia kuhusu
WhatsApp;-
1. Huduma hiyo inapatikana kupitia Whatsapp katika simu zote
za mkononi zenye uwezo wa kuitumia
2. Tick ya kijivu ina maana kuwa ujumbe umetumwa, tick mbili
za kijivu zina maana ujumbe umemfikia mlengwa, na tick mbili za blue zina maana
kuwa mlengwa ameusoma ujumbe uliotumwa
3. Ukibonyeza na kushikilia ujumbe uliotuma inatokea
Pressing and holding an individual message shows the Message Info option
4. Ukibonyeza ujumbe uliotuma utaona muda kamili ambao
ujumbe huo ulisomwa
Kuanzia jana huduma hiyo itakuwa ikionyesha tick mbili za
rangi ya blue upande wa chini kulia katika kila ujumbe unaotuma kubainisha kuwa
umesomwa.
Ukibonyeza ujumbe wenyewe itakuonyesha muda ambao
uliyemtumia ujumbe huo kausoma.
Tazama video hii uone mabadiliko hayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “KAMA UNATUMIA WHATSAPP,HII MPYA INAKUHUSU KABISA.”
Post a Comment