Friday, October 16, 2015
HAPPY BIRTHDAY!! BONIFACE MAGANGA
Do you like this story?
![]() |
|
Kocha Dylan Kerr (kulia)
akimpakaza keki usoni kiungo wake Boniface Maganga (kulia)
|
![]() |
|
Kama utani vile lakini ndio
upendo na umoja katika timu, Kocha wa Simba Dylan Kerr (katikati) na wachezaji
wake wakiwapongeza Kiiza na Maganga kwa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwao.
|
![]() |
|
Kocha Kerr (kushoto) na kocha
msaidizi Selemani Matola (kulia) wakimpongeza Boniface Maganga (katikati)
katika staili ya aina yake wakati wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwake.
|
![]() |
|
Hamisi Kiiza na Boniface
Maganga
|
![]() |
|
Kiiza (katikati) akipongezwa na
wachezaji wenzake.
|
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.gif)







0 Responses to “HAPPY BIRTHDAY!! BONIFACE MAGANGA ”
Post a Comment