Monday, December 7, 2015

BREAKING NEWS: KATIBU WA WIZARA YA UCHUKUZI AFUTWA KAZI.


Katibu Mkuu wa Wizara ya uchukuzi Bw. Shabani Mwinjaka akiongea na wanahabari (Picha na Maktaba).
Rais John Magufuli amevunja bodi yote ya Bandari na ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi mkuu wa bandari Bw. Awadhi Massawe na ameagiza wote wawekwe chini ya ulinzi. Pia amemfukuza kazi Katibu Mkuu wa Wizara ya uchukuzi Bw. Shabani Mwinjaka.

0 Responses to “BREAKING NEWS: KATIBU WA WIZARA YA UCHUKUZI AFUTWA KAZI.”

Post a Comment

More to Read