Friday, April 1, 2016

EWURA YASHUSHA BEI ZA UMEME.





Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushusha bei za umeme kuanzia leo kwa watumiaji wote wa viwango tofauti.

Kushuka huko kwa bei ya umeme ni kutokana na ombi la Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kutaka bei za umeme zipunguzwe sambamba na hilo gharama za huduma kwa baadhi ya wateja zimeondolewa.

0 Responses to “ EWURA YASHUSHA BEI ZA UMEME.”

Post a Comment

More to Read