Saturday, June 25, 2016

.HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAPOKE A VIFAA VYA USAFI K MSAADA WA BENK YA DUNIA.


Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Dk Mussa Mapunda(kulia) akiwa na Meya wa Jiji la Mbeya Mch David Mwishilindi katika Ukaguzi wa Vifaa Hivyo vya Usafi.

Mwonwkano wa Makontena hayo ya Usafi.

Meya wa Jiji la Mbeya Mch David Mwishilind(kushoto)akisisitiza jambo kwa Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Mussa Mapunda wakati wa ukaguzi huo.(Picha na David Nyembe wa Fahari News)



(Picha zote na David Nyembe wa Fahari News)


Halmashuri ya jiji la Mbeya imepokea vifaa vya usafi toka Mradi wa (TSCP)Tanzania Strategies Cities Project vinavyfadhiliwa na Bank ya Dunia.

Vifaa hivyo vitaiwezesha Halmashauri ya jiji kuondokana na tatizo la Muda Mrefu lililokuwa changamoto katika kuweka jiji na viunga vyake katika hali ya Usafi.

Aidha Halmashauri ya Jiji inatarajia kupata makontena ya kuifadhia taka yapatayo 91, Vifaa vilivyopokelewa tayari ni Makasha (kontena) 76 ya kuhifadhia taka amabyo yatasambazwa katika maeneo Mbalimbali ya jiji hivyo kulifanya jiji kuwa katika hali ya usafi kama majiji Mengine yaliyo katika Hadhi ya usafi.

Haidha Halmashauri ya jiji inatarajia kupokea Magari kupokea Magari ya kubebea Makontena ya Taka 5 na Mitambo ya Kuhudumia Dampo la Kisasa lililopo jijini Mbeya kata ya Isalaga.
Hivyo Halmashauri ya Jiji la Mbeya inawataka Wananchi kutunza vifaa Hivyo vya Usafi kwa kutochoma moto takataka zikiwa ndani ya Makontena Hayo.

0 Responses to “.HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAPOKE A VIFAA VYA USAFI K MSAADA WA BENK YA DUNIA.”

Post a Comment

More to Read