Sunday, June 26, 2016
HAWA NDIO WAKUU WA WILAYA WAPYA WA MIKOA MIWILI MBEYA, NA SONGWE.
Do you like this story?
MBEYA
- Chunya - Rehema Manase Madusa
- Kyela - Claudia Undalusyege Kitta
- Mbeya - William Ntinika Paul
- Rungwe - Chalya Julius Nyangidu
- Mbarali - Reuben Ndiza Mfune
SONGWE
- Songwe - Samwel Jeremiah
- Ileje - Joseph Modest Mkude
- Mbozi - Ally Masoud Maswanya
- Momba - Juma Said Irando
Wakuu wote wa Wilaya walioteuliwa
wanapaswa kufika Ikulu Dar es salaam siku ya Jumatano tarehe 29 Juni, 2016 saa
tatu kamili asubuhi kwa ajili ya kiapo cha maadili ya uongozi na maelekezo
mengine kabla ya kuapishwa na wakuu wa mikoa watakaporejea katika mikoa yao.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano,
IKULU
Dar es salaam
26 Juni, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “HAWA NDIO WAKUU WA WILAYA WAPYA WA MIKOA MIWILI MBEYA, NA SONGWE.”
Post a Comment