Sunday, June 26, 2016

VIDEO: MTANGAZAJI AGEUKA KUWA SHABIKI KWENYE KOMBE LA UERO





Mtangazaji kutoka Iceland, Gudmundur Benediktsson ameteka vichwa vya habari hivi karibuni wakati wa mechi kati ya Iceland dhidi ya Australia kwenye kombe la Euro linaloendelea nchini Ufaransa.

Gudmundur Benediktsson aliwahi kuwa mchezaji wa timu hiyo ya taifa ya Iceland, Jumatano hii alishindwa kuizuia furaha yake na kugeuka kuwa shabiki wakati Iceland ilipopata goli la pili na kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Australia.

Iceland imefanikiwa kuingia kwenye hatua ya 16 bora ya kombe hilo ikiwa ni mara yake ya kwanza kufika hatua hiyo.

0 Responses to “VIDEO: MTANGAZAJI AGEUKA KUWA SHABIKI KWENYE KOMBE LA UERO”

Post a Comment

More to Read