Tuesday, July 12, 2016
DUNIA INAKADILIWA KUWA NA WATU BILIONI 7.4 ZIPO HAPA NCHI 10 AINAZOONGOZA KWA IDADIYA WATU.
Do you like this story?
Kila ifikapo Julai,
11 ya kila mwaka dunia imekuwa ikiadhimisha siku ya idadi ya watu duniani
ambapo kwa mwaka huu takwimu zinaonyesha kuwa kwa sasa dunia ina watu zaidi ya
Bilioni 7.4 ikiwa ni ongezeko la asiliia 1.07 kutoka mwaka 2015 ambao ulikuwa
na watu Bilioni 7.3.
Idadi ya watu mara ya
kwanza ilianza kuhesabiwa mwaka 1950 na kulikadiliwa kuwa dunia ina watu
Bilioni 2.5 lakini pia kwa mujibu wa tafiti ambazo zimefanyika kwa kulinganisha
na ongezeko la watu inaelezwa kuwa hadi kufikia mwaka 2050 dunia itakuwa na
watu Bilioni 9.5 na hadi kufika mwaka 2100 kutakuwa na watu Bilioni 10.8.
Kutokana na takwimu
za mwaka 2016, Mo Blog imekuandalia orodha ya nchi 10 ambazo zinatajwa kuwa na idadi
kubwa ya watu duniani.
1. China – Bilioni 1.382
2. India – Bilioni 1.327
3. Marekani – Milioni 324
4. Indonesia – Milioni 260
5. Brazil – Milioni 209
6. Pakistan – Milioni 192
7. Nigeria – Milioni 187
8. Bangladesh – Milioni 162
9. Urusi – Milioni 143
10. Mexico – Milioni 128
Kwa upande wa nchi za
Afrika Mashariki, (katika mabano ni nafasi ya dunia);
1. (24) Tanzania – Milioni 55
2. (29) Kenya – Milioni 47
3. (35) Uganda – Milioni 40
4. (75) Sudani Kusini – Milioni 12
5. (76) Rwanda – Milioni 11.8
6. (77) Burundi – Milioni 11.5
1. (24) Tanzania – Milioni 55
2. (29) Kenya – Milioni 47
3. (35) Uganda – Milioni 40
4. (75) Sudani Kusini – Milioni 12
5. (76) Rwanda – Milioni 11.8
6. (77) Burundi – Milioni 11.5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ DUNIA INAKADILIWA KUWA NA WATU BILIONI 7.4 ZIPO HAPA NCHI 10 AINAZOONGOZA KWA IDADIYA WATU.”
Post a Comment